Kenya Top Stories

What William Ruto will be saying till August 9

What William Ruto will be saying till August 9
Nikisema Harambee ....
Mnasema bottom-up ....
Mimi ni DP...na si mjinga...
Si nilisaidiana na Mwai Kibaki...
Si nilisaidia Uhuru Kenyatta akawa Rais..
Nauliza nyinyi...
Si tumejenga barabara
Si tumeunganisha stima
Si tumeunganisha reli?
Sasa nyinyi...
Ebu niwaulize...
Si nilisaidia yeye, Raila Odinga, akakuwa Waziri Mkuu...
Sinilisaidia Uhuru akakuwa Rais...
Sasa nyinyiii...
Mnasema tuanze na mama mboga
Au tuanze na BBI
Mnataka hurubaru au kitendawili
Ebu niwaulizeee...
Mnataka kupangwa ama kujipanga ....
Wanatafuta vyeo ....
Sasa ai Mimi ni deputy president....
Mimi ni mjinga kweli ...
Hao watu waachane na sisi...
Maaathani agocco ...Hende chothe..
Serikali ni ya mama mboga...
Sasa nyinyi ...ni wajinga kweli?...
Nitawapatia 100 Billion...
Sisi hatutaki handouts...
Nitawapatia 2 million ...
Sasa nyinyi...
Tumesema hakuna kupangwa...
Si tuchague Millicent Omanga Women Rep.... etc
Hao washenzi waachane na Mimi nani....
Tumesema tuanzie hapa chini....
Mimi ni mtu wa kuibiwa kura kweli...
Sasaaa nyinyiiii....hahaha

Display Comments


Leave A Comment